Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

292. Ni Wale tu Wenye Imani ya Kweli Hupata Kibali cha Mungu

I

Musa alipogonga mwamba na maji yakatoka,

zawadi kutoka Yehova, ilikuwa ni kwa imani.

Daudi alipocheza muziki kumsifu Yehova,

kama moyo wake ukijaa furaha, ilikuwa ni kwa imani.

Ayubu alipopoteza mifugo wake na mali yake yote,

na akafunikwa na majipu, ilikuwa ni kwa imani.

Na wakati bado aliweza kusikia sauti ya Yehova,

na bado kuhisi utukufu Wake, ilikuwa ni kwa imani.

Ilikuwa ni kwa imani, kwa imani. Ilikuwa ni kwa imani na si chochote kingine, hasa imani tu!

Ilikuwa ni kwa imani, kwa imani. Ilikuwa ni kwa imani na si chochote kingine, hasa imani tu!

II

Petro alipomfuata Yesu na kutoa ushuhuda mtukufu

akiwa ametundikwa msalabani, ilikuwa ni kwa imani.

Yohana alipoona mfano mtukufu wa Mwana wa Adamu

na maono ya siku za mwisho, ilikuwa ni kwa imani yake.

Mataifa wanapogundua Mungu amerejea katika mwili

kufanya kazi Yake, pia ni kwa imani.

Wengi wamegongwa na neno la Mungu, kufarijiwa na kuokolewa,

ilikuwa pia ni kwa sababu ya imani.

Ilikuwa ni kwa imani, kwa imani. Ilikuwa ni kwa imani na si chochote kingine, hasa imani tu!

Ilikuwa ni kwa imani, kwa imani. Ilikuwa ni kwa imani na si chochote kingine, hasa imani tu!

kutoka katika "Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Kuteseka kwa Ajili ya Kutenda Ukweli ni kwa Maana Sana

Inayofuata:Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

Maudhui Yanayohusiana