Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Mungu Ana Nia Nzuri Zaidi

Nimechagua kumpenda Mungu, nitatii chochote atakachochukuwa Yeye.

Sitoi neno lolote la ulalamishi, licha ya uchungu.

Uhuru usiozuilika wa mwanadamu unastahili adhabu ya Mungu.

Uasi ni wangu binafsi, sifai kukosea mapenzi ya Mungu.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

Nina wasiwasi kama upendo wangu utamridhisha Mungu au la.

Sithubutu kupunguza kasi hata kidogo; nafanya kila niwezalo kuwa mwaminifu kwa Mungu.

Kuishi na Mungu siku baada ya siku, naona jinsi Anavyopendeza.

Katika mawasiliano yangu na Yeye, kuna uasi zaidi ya chache.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

Nakubali kutafuta kwa Mungu, najua zaidi ya upotovu wangu.

Nafungua moyo wangu kwa ushirika, ukweli unakuwa wazi zaidi.

Natetemeka kwa fikira ya kuikosea tabia Yake.

Nitakuwa mwangalifu nisiasi, kumsababisha Askie uchungu.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

Ingawa nimejifunza kumpenda Mungu, kila wakati nahisi nikiwa mbali na mapenzi Yake.

Lazima nitie bidii kuendelea ili kufikia mahali ambapo Petro alikuwa amefika.

Tamanio langu la kipekee ni kumfurahisha Mungu, bila kujali anavyofikiria kuhusu upendo wangu.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

Iliyotangulia:Kumpenda Mungu ni Matamanio Yangu

Inayofuata:Nataka Kumwimbia Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  Ⅰ Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

  Ⅰ Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa mimi,…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, …

 • Nitampenda Mungu Milele

  Ⅰ Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi s…