Ulimwengu wa kiroho ni nini

Ulimwengu wa kiroho ni nini

Ulimwengu wa kiroho ni nini? Hebu Niwape maelezo mafupi na rahisi. Ulimwengu wa kiroho ni sehemu muhimu, ambayo ni tofauti na ulimwengu yakinifu. Na mbona Ninasema kwamba ni muhimu? Tutalizungumzia hili kwa kina. Uwepo w…

2019-09-10 12:59:25

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Wasioamini

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Wasioamini

Hebu tuanze na mzunguko wa uhai na mauti wa wasioamini. Baada ya watu kufa, wanachukuliwa na msimamizi kutoka ulimwengu wa kiroho. Na ni kitu gani chao kinachukuliwa? Sio miili yao, bali ni roho zao. Roho zao zikichukuli…

2019-09-10 13:01:50

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Mbalimbali Wenye Imani

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Mbalimbali Wenye Imani

Tumemaliza kujadili mzunguko wa uhai na mauti wa kundi la kwanza, wasioamini. Hebu sasa tujadili ule wa kundi la pili, watu mbalimbali wenye imani. “Mzunguko wa uhai na mauti wa watu mbalimbali wenye imani” vilevile ni m…

2019-09-10 13:02:57

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu

Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu

Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko wa uhai na mauti wa wale wanaomfuata Mungu. Hili linawahusu, hivyo kuweni makini. Kwanza, fikiria kuhusu ni makundi gani ambamo watu wanaomfuata Mungu wanaweza kugawika. (Wateule …

2019-09-10 13:04:14

Kujua Hekima ya Mungu na Kudura Kutoka kwa Ukweli wa Utawala Wake juu ya, na Usimamizi wa Ulimwengu wa Kiroho

Kujua Hekima ya Mungu na Kudura Kutoka kwa Ukweli wa Utawala Wake juu ya, na Usimamizi wa Ulimwengu wa Kiroho

Inapokuja katika ulimwengu wa kiroho, kama viumbe mbalimbali waliomo watafanya kitu kibaya, kama hawafanyi kazi yao inavyostahili, Mungu pia ana sheria za peponi na amri zifaazo kuwashughulikia—hili halipingwi. Basi, kat…

2019-09-10 13:05:18