Kwa nini Bwana Yesu aliwalaani Mafarisayo? Ni nini asili ya Mafarisayo?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Kwa nini nyinyi pia mnavunja amri ya Mungu kwa utamaduni wenu? Kwani Mungu aliamuru, Akisema, Mwonyeshe babako na mamako…
Kwa nini inasemekana kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wote wanaitembea njia ya Mafarisayo? Ni nini asili yao?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Naye akaanza kuzungumza nao kwa kutumia mifano. Mtu fulani alipanda shamba la mizabibu, naye akalizingira kwa ugo, naye …
Kwa nini kila hatua mpya ya kazi ya Mungu hukabiliwa na uasi mkali na lawama ya ulimwengu wa kidini? Chanzo cha msingi ni nini?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Naye akaanza kuzungumza nao kwa kutumia mifano. Mtu fulani alipanda shamba la mizabibu, naye akalizingira kwa ugo, naye …
Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wote kweli wamewekwa na Mungu? Kukubali na utii kwa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa kunawakilisha utii wa mtu kwa Mungu na kumfuata Mungu?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Kwa hivyo basi, tazama, nimefikiwa na kilio chao wana wa Israeli: na mimi pia nimeona ukandamizaji ambao Wamisri wanatum…
Matokeo ya mtu anayemwamini Mungu katika dini na ambaye hupitia mchafuko na udhibiti wa Mafarisayo na wapinga Kristo ni yapi? Mtu anaweza kuokolewa na Mungu kama anamwamini Mungu kwa njia hii?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Wao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwelekeza kipofu, wote wawili wataanguka ndani ya shimo” (Mathayo 15:14).…
Katika ulimwengu wa kidini, ni ukweli na Mungu wanaoshikilia uwezo, au ni wapinga Kristo na Shetani wanaoshikilia uwezo?
Aya za Biblia za Kurejelea: “Lakini ole wenu nyinyi, waandishi na Mafarisayo, mlio wanafiki! Kwa maana mnafunga ufalme wa mbinguni wasiingie wanadamu…