358 Mungu Angekosaje Kuwa na Huzuni?

1 Hivyo, Nasema kwamba Nimeonja ladha tamu, chachu, chungu, na kali za uzoefu wa binadamu, na kwamba Naja katika upepo na kuenda na mvua, kwamba Nimepitia mateso ya familia, Nimepitia milima na mabonde ya maisha, na Nimepitia uchungu wa kuondoka kutoka kwenye mwili. Hata hivyo, Nilipokuja duniani, badala ya kunikaribisha Mimi kwa sababu ya taabu Nilizokuwa Nimepitia kwa ajili yao, watu “kwa upole” walikataa makusudi Yangu mazuri. Ningekosaje kuumizwa na hili? Ningekosaje kusikitishwa. Yaweza kuwa kwamba Nilipata mwili ili yote yamalizike hivi?

2 Kwa nini mwanadamu hanipendi Mimi? Kwa nini upendo Wangu umelipwa na chuki ya mwanadamu? Yaweza kuwa kwamba Natakiwa kuteseka kwa njia hii? Watu wametoa machozi ya huruma kwa sababu ya taabu Yangu duniani, na wameshutumu udhalimu wa msiba Wangu. Lakini ni nani amewahi kuujua kweli moyo Wangu? Ni nani anaweza daima kufahamu hisia Zangu? Mwanadamu wakati fulani alikuwa na upendo mkubwa Kwangu, na wakati fulani mara nyingi alinitamani sana katika ndoto zake—lakini ni vipi ambavyo watu wa duniani wangeweza kufahamu mapenzi Yangu mbinguni?

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 31” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 357 Hakuna Aelewaye Mapenzi ya Mungu

Inayofuata: 359 Watu Hawalengi Maneno ya Mungu kwa Mioyo Yao

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp