301 Naomba Ukae Moyoni Mwangu Daima

1

Unaandamana nami

katika misimu minne.

Nikitazama uso Wako wenye upweke,

mawimbi ya huzuni yanajaa moyoni mwangu.

2

Sijawahi kubembeleza huzuni Wako

na sikujali kamwe kuhusu upweke Wako;

nikikumbana na maneno Yako ya bidii

tena na tena, mimi ni mkaidi sana.

Kila wakati kuumiza moyo Wako na kila wakati kukufadhaisha Wewe;

baada tu ya kupata kuadibiwa ndipo nagundua kidogo.

Ingawa niko upande Wako, siwezi kubeba mzigo kwa ajili Yako.

Sina akili, sielewi ugumu Wako kabisa.

Moyo Wako ni wenye ukarimu sana, upendo ni wa thamani na kweli.

Nani anaweza kuwa mzuri zaidi na mwenye heshima kuliko Wewe!

Nitakuwa na Wewe milele, na kamwe sitaondoka upande Wako.

Acha uchangamfu na raha vionekane usoni Mwako, ishi moyoni mwangu wakati wote.

3

Kwa tamaa na mwili,

nilisahau ukweli na maadili.

Nikijawa na majuto,

nimeufadhaisha moyo Wako kwa kitambo kirefu.

4

Hakuna anayeelewa huzuni Yako.

Nikitoa sauti kwa uchungu katika upotovu,

nikinyoosha mkono wangu wa ulafi kuomba.

Nani ako na dhamiri na akili kugawa masumbuko Yako kidogo?

Kila wakati kuumiza moyo Wako na kila wakati kukufadhaisha Wewe;

baada tu ya kupata kuadibiwa ndipo nagundua kidogo.

Ingawa niko upande Wako, siwezi kubeba mzigo kwa ajili Yako.

Sina akili, sielewi ugumu Wako kabisa.

Moyo Wako ni wenye ukarimu sana, upendo ni wa thamani na kweli.

Nani anaweza kuwa mzuri zaidi na mwenye heshima kuliko Wewe!

Nitakuwa na Wewe milele, na kamwe sitaondoka upande Wako.

Acha uchangamfu na raha vionekane usoni Mwako, ishi moyoni mwangu wakati wote.

Iliyotangulia: 299 Kusubiri Habari Njema za Mungu

Inayofuata: 302 Njia Za Mungu Haziwezi Kueleweka

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp