153 Furaha Yetu kwa Wokovu wa Mungu

1

Tunajisisimua kuufuatilia ukweli,

tunaacha kukata tamaa nyuma.

Sauti zetu zaimba kwa uhuru katika wimbo.

Tunafuata mahadhi na kufungua mioyo yetu.

Tuko mkono kwa mkono na moyo kwa moyo.

Tunataka Uhisi furaha yetu.

Hatutaki kukusababishia huzuni yoyote zaidi.

Kwa kukumbatio la wazi, tunainua mikono yetu kucheza.

Tunaimba na kucheza! Tumejaa furaha!

Tukipokea wokovu Wako, tunaitoa mioyo yetu.

Tunakusifu kwa sauti kubwa, tunakuchezea kwa furaha.

Ni nini kiigusacho mioyo yetu na kwa nini tunalia?

Hukumu Yako inatutakasa,

hii yatuletea machozi na kuigusa mioyo yetu.

Tunaikaribisha tumaini kwa mikono miwili.

Tunatafuta kukupenda na kukuishia.

Huzuni yetu inaanguka.

Wewe ni mwingi wa rehema; Unapanda mbegu za upendo.

Kutoka mavumbini na matopeni mwanadamu anakuwa tunda zuri.

Binadamu wapotovu wana fadhila.

Tunahisi furaha kwa kuwa tumeokolewa.

Tunaimba na kucheza! Tumejaa furaha!

Tukipokea wokovu Wako, tunaitoa mioyo yetu.

Tunakusifu kwa sauti kubwa, tunakuchezea kwa furaha.

2

Ee, Mungu Mwenyezi! Unatupenda sana!

Ingawa majaribu yatuletea uchungu,

kwa upendo Wako, tutakufuata mpaka mwisho,

tukijitoa Kwako mpaka pumzi ya mwisho.

Tunatenda ukweli na kutii kwa uaminifu.

Katika maisha haya, tunakuishia Wewe tu.

Hatungependa Uwe na wasiwasi nasi.

Tunaimba nyimbo za ajabu na kukuchezea Wewe tu kwa furaha.

Tunaimba na kucheza! Tumejaa furaha!

Tukipokea wokovu Wako, tunaitoa mioyo yetu.

Tunakusifu kwa sauti kubwa, tunakuchezea kwa furaha.

Tunakuchezea kwa furaha.

Tunakuchezea kwa furaha, kwa furaha, kwa furaha.

Tunakuchezea kwa furaha, kwa furaha.

Iliyotangulia: 152 Wimbo wa Upendo Mtamu

Inayofuata: 154 Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp