20 Uso wa Mfalme wa Ufalme ni Mtukufu Kupindukia

1 na kwamba Mungu ana mwanzo mpya duniani, na Anatukuzwa duniani. Kwa sababu ya mandhari mazuri ya mwisho, Mungu hana budi kuonyesha uchu ulio ndani ya moyo Wake: “Moyo Wangu unapiga na, kufuatia mdundo wa mpigo wa moyo Wangu, milima inaruka kwa furaha, maji yanacheza kwa furaha, na mawimbi, kwa wakati ufaao, yanagonga juu ya mawe ya mwamba. Ni vigumu kueleza kile kilicho ndani ya moyo Wangu.” Kutoka kwa hili inaweza kuonekana kwamba kile kilichopangwa na Mungu ni kile ambacho Mungu ameshatimiza, kwamba kilijaaliwa na Mungu, na ni kile hasa Mungu huwafanya watu kupitia na kutazama.

2 Mandhari ya ufalme ni mazuri, Mfalme wa ufalme ni mshindi, kutoka kichwani hadi kidoleni hakuna dalili yoyote ya mwili na damu, Yeye mzima ni mtakatifu. Mwili wake wote unang’aa kwa utukufu mtakatifu, haujatiwa doa na mawazo ya kibinadamu hata kidogo, mwili Wake wote, kutoka juu hadi chini, umejaa haki na uzuri wa mbingu, na unatoa harufu nzuri ya kupendeza mno. Kama wapenzi katika Wimbo wa Suleiman, Yeye bado ni mzuri kuliko watakatifu wote, wa juu zaidi kuliko watakatifu wa kale, Yeye ni mfano kati ya watu wote, na Asiyelinganishika na mwanadamu; watu hawafai kumtazama moja kwa moja. Hakuna awezaye kuufikia uso mtukufu wa Mungu, sura ya Mungu, au taswira ya Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 12” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 19 Mfalme wa Ufalme ni Mshindi

Inayofuata: 21 Ufalme Wa Mungu Umetengenezwa Kati Ya Wanadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp