562 Kujua Mawazo na Mitazamo Yenu Wenyewe ni Muhimu

Kujijua wenyewe ni kujua ni vitu gani vilivyopo mawazoni na katika maoni yenu vinavyompinga Mungu na havilingani kabisa na ukweli na havina ukweli. Kwa mfano, kujua kiburi cha wanadamu, kujidai, uwongo, na udanganyifu—hizi ndizo tabia potovu ambazo ni rahisi kutambua. Kwa kuongezea, kila mtu ana kiburi na udanganyifu, ingawa kwa viwango tofauti. Hata hivyo, mawazo na maoni ya watu sio rahisi kujua; si rahisi kama kujua tabia za watu. Hivi ni vitu vilivyokita mizizi. Kwa hivyo, wakati umepata mabadiliko kidogo katika tabia na tabia yako ya nje, bado kuna vipengele vingi vya kufikiria, maoni, mitazamao yako, na elimu ya utamaduni ambayo umepokea ambavyo viko kinyume na Mungu na ambavyo bado hujafukua. Vitu kama hivyo ndivyo asili ya kumpinga kwako Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Ni kwa Kutambua Maoni Yako Yaliyopotoka Tu Ndipo Unapoweza Kujijua Mwenyewe” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 561 Jinsi ya Kuchunguza Asili Yako

Inayofuata: 563 Kanuni za Msingi za Kutatua Asili ya Mtu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp