123 Wale Wanaompenda Mungu Wana Furaha Kweli

1

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunamsifu Mungu kama mkuu na twainama kumwabudu.

Kusoma maneno ya Mungu na kuelewa ukweli, na kuishi mbele za Mungu ni furaha kuu.

Kwa kuinyima miili yetu na kuuacha ulimwengu, roho zetu zinaokolewa na kuwa huru kweli.

Kwa kuyajali mapenzi ya Mungu na kutimiza wajibu wetu vizuri, mioyo yetu ni mitulivu na tunafurahia.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunakubali hukumu na tunatakaswa.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunatenda ukweli na kumtii Mungu.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunatekeleza mapenzi ya Mungu kama wajibu wetu wa lazima.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunamcha Mungu kuishi katika nuru, na tumebarikiwa kweli kumpenda Mungu.

Accompaniment: Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunampenda Mungu na tumebarikiwa.

2

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunafuatilia ukweli na kumjua Mungu.

Katika majaribu na dhiki, Mungu yuko pamoja nasi, mioyo yetu ni mitulivu na tuna msaada wa kutegemea.

Kupitia hukumu na kuadibu, tunatakaswa, na upendo wetu kwa Mungu unakuwa safi zaidi.

Tunaweza kuwa wenye wazo moja na Mungu, na tutamwinua na kuwa na ushuhuda Kwake milele.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tutamfuata Mungu kwa uaminifu hadi mwisho.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunatumia maisha yetu kwa ajili ya Mungu tu.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunaweza kuwa wandani wa Mungu.

Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tutarithi ahadi na baraka za Mungu, na tumebarikiwa sana kumpenda Mungu.

Kiambata: Tunampenda Mungu na tumebarikiwa. Tunampenda Mungu na tumebarikiwa.

Iliyotangulia: 122 Mpende Mungu Uishi Katika Nuru

Inayofuata: 124 Mungu Huwabariki Wale Wampendao

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp