544 Wale Wanaopenda Ukweli Watapata Ukweli

1 Wokovu wa Mungu wa binadamu ni wokovu wa wale wanaopenda ukweli, wokovu wa sehemu ndani yao ambayo ina ari ya mapenzi na maazimio na sehemu yao inayotamani ukweli na haki mioyoni mwao. Azimio la mtu ni sehemu yao ndani ya mioyo yao inayotamani haki, wema na ukweli, na iliyo na dhamiri. Mungu hukoa sehemu hii ya watu, na kupitia hiyo Anabadili tabia yao potovu, ili waweze kuelewa na kupata ukweli, ili upotovu wao uweze kutakaswa na tabia ya maisha yao ikaweze kubadilishwa. Ikiwa ndani yako hakuna upendo wa ukweli ama hamu ya haki na mwanga wakati wowote unapokumbana na uovu, hutakuwa na hiari ya kutupa mbali vitu viovu ama azimio la kupitia shida, au azimio la kuvumilia mateso, iwapo dhamiri yako ni yenye ganzi, iwapo welekevu wako wa kupokea ukweli pia ni wenye kuwa ba ganzi na, huna umakini kwa ukweli na masuala amabayo hutokea, na iwapo una dhamira katika mambo yote, na, huwezi kushughulika au kutatua mambo wewe mwenyewe, basi hakuna njia ya kuokolewa.

2 Wakati jambo linakukumba, ni lazima kuwa mtulivu, na mtazamo unaofaa, na ni lazima kufanya chaguo. Unapaswa kujifunza kuutumia ukweli kutatua jambo lile.Katika wati wa kawaida, kuna maana gani ya wewe kuelewa ukweli fulani? Haiko hapo tu ili kujaza tumbo lako, na sio tu hapo kukupa kitu cha kusema, wala hauko hapo kwa ajili ya kutatua shida za wengine. Lililo muhimu zaidi, matumizi yake ni kutatua matatizo yako mwenyewe, shida zako mwenyewe—ni baada tu ya kutatua shida zako binafsi ndipo utaweza kutatua shida za wengine. Mbona inasemwa kuwa Petro ni tunda? Kwa sababu kuna vitu vya thamani ndani yake, vitu vilivyo na thamani ya kukamilisha, alikuwa na azimio la kuutafuta ukweli na alikuwa imara kwa makusudi; alikuwa na sababu, alikuwa tayari kupitia shida, na alipenda ukweli katika moyo wake, na hakukiachilia. Hizi zote ni hoja zenye nguvu. Wale tu wanaoutafuta ukweli kwa azimio wataupata ukweli na kukamilishwa na Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 543 Ikiwa Unaupenda Ukweli Tu Ndiyo Unaweza Kutenda Ukweli

Inayofuata: 545 Ishi Kulingana na Maneno ya Mungu Kubadili Tabia Yako

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp