531 Mwanadamu ni Mgumu Sana Kuokoa

Hakuna anayepangilia kuifuata barabara hii kwa maisha yake yote, akiutafuta ukweli ili kuyapata maisha na kumfahamu Mungu, na kuishi maisha yenye maana kama Petro mwishowe. Hivyo basi, watu hupotoka katika njia yao, hawana nafasi ya Mungu mioyoni mwao wakiwa njiani, na Roho Mtakatifu hafanyi kazi tena ndani yao, na wanatembea kinyumenyume; bidii yao yote inayotokana na kusadiki katika kipindi cha miaka minane au tisa ya awali kunaharibika kabisa—hili ni jambo hatari sana! Kuteseka sana, kusikiliza mahubiri mengi sana, kuendelea vivyo hivyo kwa miaka mingi sana, yote haya ni bure; hii ni hatari sana! Ni rahisi kuuteremka mlima lakini ni vigumu kuupanda mlima na kuchagua barabara sahihi ambayo mtu anafaa kutembelea. Vichwa vya watu wengi havifikirii vizuri! Hawawezi kuchagua kwa usahihi ni barabara gani sahihi na ipi ni ya kupotosha. Baada ya kuyasikiliza mahubiri mengi na kuyasoma maneno mengi ya Mungu, wanajua kwamba Yeye ni Mungu, lakini bado hawaamini; wanajua ni njia ya kweli, lakini bado hawawezi kuitembelea; ni vigumu vipi kuwaokoa watu!

Umetoholewa kutoka katika “Wale Waliopoteza Kazi ya Roho Mtakatifu Ndio Walio katika Hatari Kubwa Zaidi” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 530 Anachochukia Mungu Zaidi ni Ukaidi na Uhalifu wa Mwanadamu

Inayofuata: 532 Wasioyatenda Maneno ya Mungu Wataondolewa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp