Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

882 Vitu Vyote ni Maonyesho ya Mamlaka ya Muumba

1

Katika ulimwengu huu mpya, ambao mwanadamu bado alikuwa hajaonekana,

Muumba alikuwa ametayarisha jioni na asubuhi,

ile anga, ardhi na bahari,

nyasi, miti isiyozaa na aina mbalimbali za miti,

na nuru, misimu, siku,

na miaka kwa minajili ya maisha mapya ambayo Angeumba hivi karibuni

Mamlaka na nguvu za Muumba

vyote vilionyeshwa katika kila kiumbe kipya Alichokiumba,

Kila mojawapo ya fikira Zake, kila mojawapo ya matamshi Yake,

na kila ufunuo wa mamlaka Yake ni kiungo muhimu miongoni mwa viumbe vyote,

na ni utekelezaji mkuu wenye thamani zaidi

wa kuunda ufahamu na maarifa ya kina ya mwanadamu.

2

Na maneno na kufanikiwa Kwake vyote vilifanyika sawia,

bila ya hitilafu yoyote ndogo na bila ya kuchelewa kokote kudogo.

Kujitokeza na kuzaliwa kwa viumbe hivi vyote vipya

kulikuwa ithibati ya mamlaka na nguvu za Muumba:

Yeye ni mzuri sawa tu na neno Lake, na neno Lake litakamilika,

na kile kinachokamilika kinadumu milele.

Hoja hii haijawahi kubadilika: ndivyo ilivyokuwa kale, ndivyo ilivyo leo,

na ndivyo itakavyokuwa daima dawamu.

Kila mojawapo ya fikira Zake, kila mojawapo ya matamshi Yake,

na kila ufunuo wa mamlaka Yake ni kiungo muhimu miongoni mwa viumbe vyote,

na ni utekelezaji mkuu wenye thamani zaidi

wa kuunda ufahamu na maarifa ya kina ya mwanadamu.

3

Mamlaka na nguvu za Muumba hutoa muujiza baada

ya muujiza na huvutia umakinifu wa binadamu,

naye binadamu hawezi kukwepa haya ila kuyaangazia tu macho matendo

haya ya kipekee yaliyozaliwa kutokana na utekelezwaji wa mamlaka husika.

Nguvu zake za kipekee zafurahisha baada ya kufurahisha,

na binadamu anabaki akishangaa na akijawa na furaha,

naye anatweta kwa kuvutiwa, anastaajabishwa, na kushangilia; nini kingine tena, binadamu amefurahishwa kwa kumtazama alivyo,

na kilichozaliwa ndani yake ni heshima, kustahi, na mtagusano wa karibu.

Kila mojawapo ya fikira Zake, kila mojawapo ya matamshi Yake,

na kila ufunuo wa mamlaka Yake ni kiungo muhimu miongoni mwa viumbe vyote,

na ni utekelezaji mkuu wenye thamani zaidi

wa kuunda ufahamu na maarifa ya kina ya mwanadamu.

Mamlaka na vitendo vya Muumba vinayo athari kwa roho ya binadamu

na hutakasa roho ya binadamu na zaidi,

kutosheleza roho ya binadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Mwanadamu Anapaswa Kuthamini Viumbe wa Mungu

Inayofuata:Mamlaka ya Mungu Kuwafufua Wafu

Maudhui Yanayohusiana

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …