313 Hakuna Amjuaye Mungu Mwenye Mwili

1 Mwanadamu hajawahi kunifahamu katika mwanga, lakini ameniona tu katika ulimwengu wa giza. Huko katika hali sawa kabisa na hiyo leo? Ilikuwa katika kilele cha ghasia ya joka kuu jekundu ndipo Nilivaa kirasmi mwili ili kufanya kazi Yangu. Ulikuwa wakati ambapo joka kuu jekundu lilifichuliwa maumbile yake ya kweli kwa mara ya kwanza ndipo Nilipokuwa na ushuhuda kwa jina Langu. Nilipotembea katika barabara za binadamu, hakuna kiumbe hata mmoja, hata mtu mmoja, aliyebumburushwa hadi kuamka, kwa hivyo Nilipokuwa mwili katika ulimwengu wa mwanadamu, hakuna aliyejua. Lakini wakati, Nikiwa katika mwili Wangu, Nilianza kufanya kazi Yangu, halafu binadamu wakaamka, walibumburushwa kutoka kwa ndoto zake na sauti Yangu ya radi, na kutoka wakati huu wakaanza maisha chini ya uongozi Wangu.

2 Mwanadamu hanifahamu Mimi tu katika mwili Wangu; zaidi ya haya, ameshindwa kuielewa nafsi yake mwenyewe inayoishi katika mwili. Kwa miaka mingi wanadamu wamekuwa wakinidanganya, wakinichukua kama mgeni kutoka nje. Mara nyingi sana, wamenifungia nje ya milango ya nyumba zao”; mara nyingi sana, wakiwa wamesimama mbele Yangu hawajanisikiliza; mara nyingi sana wamenikana miongoni mwa wanadamu wengine; mara nyingi sana wamenikana mbele za ibilisi; na mara nyingi sana, wamenishambulia kwa midomo yao ya kugombanagombana. Ilhali siweki rekodi ya unyonge wa mwanadamu, wala kwa sababu ya kutotii kwake Sijataka kulipiza kisasi. Yote ambayo Nimefanya ni kuweka dawa kwa magonjwa yake, ili kutibu magonjwa yake yasiyotibika, hivyo kumrudisha kwa afya, ili mwishowe aje kunifahamu Mimi.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 12” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 312 Mungu Huwasifu Wale tu Wanaomtumikia Kristo kwa Shauku

Inayofuata: 314 Ni Nani Waovu Wanaomwasi Mungu?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp