335 Hakuna Awezaye Kuelewa Asili ya Maneno ya Mungu

Kati ya watu wa dunia, ni nani asiyeishi ndani ya neema Yangu? Je, kama Sikuwapa wanadamu baraka yakinifu, nani angeweza kufurahia utoshelevu katika ulimwengu? Hakika, kuwaruhusu kuchukua nafasi kama watu Wangu si baraka pekee Niliyowapa, sivyo? Na kama msingekuwa watu Wangu na badala yake muwe watendaji-huduma, hamngekuwa mnaishi ndani ya baraka Zangu? Hapana mmoja kati yenu anayeweza kuelewa asili ya maneno Yangu. Binadamu—mbali na kuthamini vyeo ambavyo Nimeweka juu yao, wengi wao, kwa sababu ya jina “watendaji-huduma,” wanaweka chuki katika nyoyo zao, na wengi sana, kwa sababu ya jina “watu Wangu,” huzalisha upendo Kwangu katika nyoyo zao. Hakuna anayepaswa kujaribu kunidanganya; macho Yangu huona kila kitu! Ni nani kati yenu hupokea kwa hiari, ni nani kati yenu hunipa utiifu kamilifu? Kama saluti kwa ufalme haingelia, je ungeweza kutii mpaka mwisho? Kile ambacho mwanadamu ana uwezo wa kufanya, kufikiria, anaweza kwenda umbali gani—haya yote Nimeyaamua kabla tangu kitambo.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 10” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 334 Siku ya Mungu Ifikapo

Inayofuata: 336 Huishi tu Kwa Ajili ya Ukweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp