Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Moyo wangu unakupenda sana. Lakini nahisi kuwa sifai upendo Wako.

Mnyonge sana sifai kuwa katika uwepo Wako, nina hofu sana na wasiwasi!

Naweza tu kuamua; kutoa nafsi yangu yote Kwako.

Nitateseka kwa ajili Yako, nipipitie mateso yote, hadi pumzi ya mwisho ya maisha yangu.

Mungu! Unajua kuwa nasubiri, nasubiri Wewe urejee.

Mungu, tafadhali usisahau kunihusu. Siwezi kuishi bila Wewe!

Najua kuwa sistahili kukuona Wewe, lakini sitapoteza matumaini yangu kamwe.

Nimejawa na imani. Sipotezi kamwe imani yangu, kukupenda Wewe moyoni mwangu.

Nitafanya lolote kwa ajili Yako. Sitajali sana kuhusu maisha yangu.

Nina imani thabiti; naamini Utarudi tena.

Naamini Utarudi tena.

Mpendwa Mungu! Tafadhali nisubiri, nisubiri nikupe upendo wangu.

Naamini kuwa Wewe unanipenda. Siwezi kuishi bila Wewe!

Ingawa nina unyonge katika mwili, uchungu na huzuni huwa nami kila wakati,

Mungu, tafadhali niamini, tafadhali weka imani kwangu kuwa sijawahi kamwe kukusahau Wewe.

Nachukia mwili wangu sana. Nachukia Shetani hata zaidi.

Jinsi ninavyotamani ningekuwa huru kutokana na dhambi! Jinsi ninavyotamani ningekuwa huru kutokana na dhambi!

Nisiporidhisha mapenzi Yako, sitakuwa na amani baada ya kifo.

Ninapoona tu, ninapoona tabasamu Lako, ndipo nitakapohisi faraja kidogo.

Nina azimio, na nina dhamira kuu.

Sitakuwa asiyejishughulisha; nakupenda Wewe, nakupenda Wewe kwa moyo wangu wa kweli.

Nikipuuza ugumu huo mwingi, bila kufikiria tena kuhusu vizuizi vilivyo mbele,

Nitaendelea bila kukoma, nitajaribu niwezavyo, nitajaribu niwezavyo kukuridhisha Wewe.

Ni lini nitaweza kuishi kwa kudhihirisha sura Yako, safi na changamfu, yote mpya?

Mwili mtakatifu wa kiroho kukupa Wewe, sitakuacha Wewe kamwe!

Mwili mtakatifu wa kiroho kukupa Wewe, sitakuacha Wewe kamwe!

Iliyotangulia:Katika Mapana na Marefu, Mwaminifu Hadi Kifo

Inayofuata:Kwa Imani ya Kesho

Maudhui Yanayohusiana

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  I Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina ama…

 • Nitampenda Mungu Milele

  Ⅰ Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi s…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  Ⅰ Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…