879 Ni Mungu tu Ampendaye Mwanadamu Zaidi

1 Mungu anaweza kufanya kazi kwa namna hii leo kwa sababu mpango Wake wa usimamizi umefikia kiwango hiki. Anawapenda binadamu hivyo Anawaokoa binadamu, Anaweza kufanya hili kwa sababu Anasukumwa na upendo na yupo ndani ya viunga vya upendo. Mungu alikuwa mwili na Aliteseka kwa mateso makubwa ili kuliokoa kundi hili la binadamu walioharibika. Hii kwa kutosheleza kabisa inathibitisha kwamba upendo Wake ni mkubwa sana. Kuna ushauri, faraja, tumaini, uvumilivu, na ustahimilivu katika maneno ambayo Mungu huzungumza, hata zaidi, kuna hukumu, adibu, laana, kufichuliwa hadharani, ahadi za kuvutia, n.k. katika maneno Yake. Bila kujali mbinu, yote hii imetawaliwa na upendo. Hii ni dutu ya kazi Yake.

2 Kwa nini watu wengi wanafuatilia kwa karibu? Kwa nini watu wengi wamekuwa na shauku kubwa hivi? Wana uelewa wa upendo wa Mungu, na wanaona kwamba kazi ya Mungu ni kuwaokoa watu. Fikiria kuhusu hilo, je, kazi ya Mungu sio sahihi hususan kwa kuzingatia muda? Kiungo kimoja hufuata kiungo kingine bila kuchelewa hata kidogo. Kwa nini Hachelewi? Bado ni kwa ajili ya binadamu. Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja. Watu hawajali kuhusu majaliwa yao wenyewe, kwa hiyo, ni nani katika dunia hii anakupenda sana? Hujipendi, hujui kutunza maisha yako mwenyewe, na hujui yana thamani kiasi gani. Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu. Ikiwa Mungu hangekuwa mwili ili kufanya kazi na kumwongoza mwanadamu uso kwa uso, ikiwa Hangeathiriana na mwanadamu na kuishi na mwanadamu wakati wote, basi kuuelewa upendo wa Mungu kwa kweli kisingekuwa kitu rahisi kufanya.

Umetoholewa kutoka katika “Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 878 Kila Hatua ya Kazi ya Mungu ni Kwa Ajili ya Uzima wa Mwanadamu

Inayofuata: 880 Mungu Ampenda Mwanadamu na Majeraha

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp