Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Mungu Wetu Anatawala kama Mfalme

Ni mzuri vipi! Miguu Yake iko juu ya Mlima wa Mizeituni.

Sikia, sisi walinzi tunaimba kwa sauti pamoja, kwa kuwa Mungu amerudi Zayuni.

Tumeona ukiwa wa Yerusalemu!

Sasa tunaimba kuhusu furaha kwa ajili ya starehe ya Mungu, na wokovu Wake wa Yerusalemu.

Mbele ya mataifa yote, Mungu anaonyesha mkono Wake mtakatifu, Anaonekana jinsi Alivyo kweli.

Watu duniani, wote wanaona wokovu wa Mungu.

Upendo Wako mkuu umetushika kwa uthabiti,

Neno Lako takatifu linatuchoma tena na tena.

Mwenyezi Mungu! Shukrani ziwe Kwako, sifa Kwako!

Mungu aishiye milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu anatawala kama Mfalme juu ya vitu vyote!

Kutoka kwa kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu,

Roho saba wanatumwa kwa makanisani kila mahali.

Mafumbo Yako yanafichuliwa. Unatawala kwenye kiti Chako cha enzi cha utukufu.

Kwa haki na uadilifu, Wewe unaupa nguvu ufalme Wako.

Mataifa yote yanainama mbele Yako.

Mwenyezi Mungu, Anaonekana jinsi alivyo kweli.

Watu duniani, wote wanaona wokovu wa Mungu.

Upendo Wako mkuu umetushika kwa uthabiti,

Neno Lako takatifu linatuchoma tena na tena.

Mwenyezi Mungu! Shukrani ziwe Kwako, sifa Kwako!

Mungu aishiye milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu anatawala kama Mfalme juu ya vitu vyote!

Giza linafunika nchi zote, linawafunika watu wote.

Lakini Mungu unaonekan na kuangaza mwangaza Wako juu yetu, utukufu Wako ndani yetu unadhihirika.

Mataifa yote na wafalme wote wanakuja kwa mwangaza Wako.

Unainua macho kutazama kando Yako.

Wana Wako wanakuja karibu na Wewe kutoka mbali.

Binti Zako pia wanakuja, wakibebwa mikononi Mwako.

Ulituongoza mbele kwenye njia ya kwenda katika ufalme Wako.

Watu duniani, wote wanaona wokovu wa Mungu.

Upendo Wako mkuu umetushika kwa uthabiti,

Neno Lako takatifu linatuchoma tena na tena.

Mwenyezi Mungu! Shukrani ziwe Kwako, sifa Kwako!

Mungu aishiye milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu anatawala kama Mfalme juu ya vitu vyote!

Kwa moyo wa kweli, mtulivu, na mwaminifu,

tunatazama Kwako, tunatoa ushuhuda Kwako, tunakuinua Wewe, tunaimba sifa Kwako.

Tunajijenga wenyewe kwa muungano wa upatanifu.

Tufanye tuwe wa kufurahisha Kwako, tuwe wa kustahili  kutumiwa na Wewe.

Mapenzi Yako yatendeke duniani, bila kuzuiwa na nguvu yoyote.

Wewe umefungua ukanda wa wafalme,

ili milango ya miji yao ifunguliwe na kutofungwa Kwako kamwe.

Kwani mwangaza Wako wa utukufu umekuja kuangaza mbele.

Mwenyezi Mungu! Shukrani ziwe Kwako, sifa Kwako!

Mungu aishiye milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu Anatawala kama Mfalme!

Mwenyezi Mungu! Shukrani ziwe Kwako, sifa Kwako!

Mungu aishiye milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu Anatawala kama Mfalme!

kutoka kwa Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni

Iliyotangulia:Mwenyezi Mungu, Mungu Mtukufu wa Kweli

Inayofuata:Mungu Wetu Anatawala Kama Mfalme

Maudhui Yanayohusiana

 • Upendo Safi Bila Dosari

  I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, …

 • Upendo wa Kweli wa Mungu

  I Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura ny…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  Ⅰ Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  Ⅰ Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…