78 Mpendwa Wetu

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

Apendwa na watu Wake wote.

Kwa unyenyekevu Anakuja kuwaokoa binadamu,

Akikabiliwa na fedheha kubwa.

Analeta ukweli, njia ya uzima wa milele,

katika ulimwengu wa giza mwanga waonekana.

Mamilioni ya mioyo inashindwa kwa sababu

maneno Yake ni ukweli, yana nguvu kubwa.

Tunaposikia sauti ya Mungu, tunainuliwa Kwake,

na tunahudhuria karamu na Mungu.

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunajifunza ukweli,

mioyo yetu inajawa mwanga na furaha.

Kuna mengi sana ya kupenda kumhusu Mungu,

tayari amevutiwa mioyoni mwetu.

Kupitia kutafuta na kufuatilia ukweli,

tutajitahidi kumpendeza Mungu.

Kwa kuweka ukweli katika vitendo,

kuishi kwa kudhihirisha mfano halisi wa binadamu,

tunapokea baraka na upendo wa Mungu.

Daima tutatafuta kumpendeza Mungu.

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

Apendwa na watu Wake wote.

Neno Lake kali laifunua asili ya mwanadamu,

neno Lake pole linaugusa moyo wa mwanadamu.

Asili Yake ni upendo na huruma,

hukumu adhimu na yenye haki.

Maneno Yake yatumiwa kuhukumu na kutakasa;

Yeye ndiye tunayempenda zaidi.

Kupitia hukumu na kuadibiwa,

twaona anastahili upendo sana.

Na tunampenda kwa dhati,

kwa dhati sana.

Kuna mengi sana ya kupenda kumhusu Mungu,

tayari amevutiwa mioyoni mwetu.

Kupitia kutafuta na kufuatilia ukweli,

tutajitahidi kumpendeza Mungu.

Kwa kuweka ukweli katika vitendo,

kuishi kwa kudhihirisha mfano halisi wa binadamu,

tunapokea baraka na upendo wa Mungu.

Daima tutatafuta kumpendeza Mungu.

Tunatoa yote tuliyo nayo Kwake,

tukifanya wajibu wetu kumpendeza.

Kristo ni ukweli, uzima na njia,

kwa maneno Yake Anakuja kuokoa.

Katika ufalme tunaongozwa kuingia,

kwa wokovu tunatoa shukrani.

Kuna mengi sana ya kupenda kumhusu Mungu,

tayari amevutiwa mioyoni mwetu.

Kupitia kutafuta na kufuatilia ukweli,

tutajitahidi kumpendeza Mungu.

Kwa kuweka ukweli katika vitendo,

kuishi kwa kudhihirisha mfano halisi wa binadamu,

tunapokea baraka na upendo wa Mungu.

Daima tutatafuta kumpendeza Mungu.

Iliyotangulia: 77 Mwenyezi Mungu, Anayependeza Zaidi

Inayofuata: 79 Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wetu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp