Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Maisha Yetu Sio Bure

Maisha yetu sio bure.

Maisha yetu sio bure.

I

Leo tunakutana na Mungu,

tunapitia kazi Yake.

Tumemjua Mungu katika mwili,

wa utendaji na wa hakika.

Tumeiona kazi Yake,

nzuri na ya ajabu.

Kila siku ya maisha yetu sio bure.

Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!

Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.

Nyayo zetu ziko katika

njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.

Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.

Mungu, tutakupenda

Wewe milele bila majuto.

Tumepata ukweli,

uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure.

Maisha yetu sio bure.

II

Maisha ya kumpenda Mungu,

yenye maana, sio matupu.

Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.

Tunapata sifa ya Mungu,

tunapokea wokovu Wake.

Hatuishi bure;

maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.

Mungu, tutakupenda Wewe

milele bila majuto.

Tumepata ukweli,

uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure.

Maisha yetu sio bure.

III

Ni nani angewez kuwa

amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?

Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu

kwa utajiri na wingi mno?

Kwa kuwa Mungu ametupa sisi

mengi zaidi kuliko chochote

kile Alichotoa katika enzi zilizopita.

Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu,

Aliyetuinua mimi na wewe.

Tunapaswa kurudisha upendo wote

uliomwagwa kwetu.

Mungu, tutakupenda Wewe

milele bila majuto.

Tumepata ukweli,

uzima wa milele tutapata.

Maisha yetu sio bure, sio bure.

Maisha yetu sio bure.

Maisha yetu sio bure.

Maisha yetu sio bure.

Iliyotangulia:Mwanadamu Anafaa Kuishi kwa Ajili Ya Nani

Inayofuata:Kuukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Unapoonekana Mbele Yangu

Maudhui Yanayohusiana

 • Kusudi la Kazi ya Usimamizi wa Mungu Ni Kumwokoa Binadamu

  Ⅰ Upendo na huruma ya Mungu vinapenyeza kazi Yake ya usimamizi kutoka kipengele cha kwanza hadi cha mwisho. Ⅱ Kama mwanadamu anahisi mapenzi Yake ya u…

 • Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  Ⅰ Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwe…

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  I Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina ama…

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…