359 Watu Hawalengi Maneno ya Mungu kwa Mioyo Yao

1 Siku moja Nilionyesha mandhari mazuri wa ufalme mbele wa mwanadamu, ilhali aliuangalia tu kwa macho ya ulafi na hakuna aliyetamani kuingia. Wakati mmoja “Niliripoti” hali ya kweli ya dunia kwa mwanadamu, ila hakufanya chochote zaidi ya kusikiza, na hakutazama maneno yaliyotoka katika mdomo Wangu na moyo wake; siku moja Nilimwambia mwanadamu kuhusu hali ya mbinguni, ilhali aliyachukua maneno Yangu kama hadithi za maajabu, na hakukubali kweli kile ambacho mdomo Wangu ulieleza.

2 Leo, matukio ya ufalme yanaangaza miongoni mwa mwanadamu, lakini kuna mtu ambaye amewahi “kuvuka kilele na bonde” akiutafuta? Bila wito Wangu, mwanadamu asingekuwa ameamka kutoka kwenye ndoto zake. Je, ametekwa sana na maisha yake duniani kwa kweli? Kweli hakuna kiwango cha juu katika moyo wake?

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 25” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 358 Mungu Angekosaje Kuwa na Huzuni?

Inayofuata: 360 Unaishi Katika Maneno ya Mungu kwa Kweli?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp