844 Mungu Atakukamilisha Ukiitembea Tu Njia ya Petro

1 Kile Yesu alichomwambia Petro wakati huo ndicho anachowaambia watu leo, ambao maarifa yao na kuingia kwao katika maisha lazima yafikie yale ya Petro. Ni kulingana na mahitaji haya na njia hii ndiyo Mungu atakapofanya kila mtu kuwa mkamilifu. Kile Petro alichopitia pia nyinyi lazima mpitie, yale matunda ambayo Petro alipata kutoka kwa yale aliyoyapitia pia lazima yaonyeshwe ndani yenu, na maumivu aliyoteseka Petro, nyinyi pia lazima mtayapitia kwa kweli. Njia mnayotembelea ndiyo ile ile ambayo Petro alitembelea. Maumivu mnayoteseka ndiyo maumivu ambayo Petro aliteseka. Mnapopokea utukufu na mnapoishi kwa kudhihirisha maisha halisi, basi mnaishi kwa kudhihirisha taswira ya Petro. Njia ni ileile, na kulingana na haya ndipo mtu anafanywa kuwa kamili.

2 Lazima muwe wazi kuhusu njia mnayotembelea; lazima muwe wazi kuhusu njia mtakayotumia katika siku za usoni, ni nini haswa ambacho Mungu atafanya kuwa mkamilifu na ni nini ambacho mmeaminiwa nacho. Siku moja, pengine, mtajaribiwa, na kama wakati huo mtaweza kutiwa msukumo kutoka kwa yale aliyopitia Petro, yatawaonyesha kwamba kwa kweli mnatembea njia ya Petro. Petro alipongezwa na Mungu kwa ajili ya imani na upendo wake wa kweli, na kwa ajili ya utiifu wake kwa Mungu. Na ilikuwa kutokana na uaminifu wake na kutamani kwake Mungu katika moyo wake ndiposa Mungu akamkamilisha kuwa timilifu. Kama kweli unao upendo na imani kama hiyo ya Petro, basi Yesu kwa kweli atakufanya kuwa timilifu.

Umetoholewa kutoka katika “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 843 Wewe ni Mtu Anayetafuta Kukamilishwa na Mungu?

Inayofuata: 845 Ni Wale tu Wanaokamilishwa na Mungu Wanaweza Kumpenda kwa Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp