976 Tenda Ukweli na Tabia Yako Itabadilika

1 Kusudi la ushurika wazi kuhusu ukweli ni ili, sio tu kuwafanya wafurahi. kuwafanya watu kutenda ukweli na kubadilisha tabia yao, Kama unaelewa ukweli lakini hauuweki katika matendo, basi ushirika kuhusu ukweli na ufahamu wa ukweli hautakuwa na maana yoyote. utapoteza nafasi yako ya kupata ukweli na kupoteza nafasizyote za kuokolewa. Wengine husema kuwa shida zao hazitatatuliwa kwa kutenda ukweli. Wengine huamini kuwa ukweli hauwezi kutatua kikamilifu tabiapotovu za watu. Ukweli ni kwamba shida zote za watu zaweza kutatuliwa; cha muhimu ni kama watu wanaweza kutenda kulingana na ukweli au hapana. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; mwangaza na uongozi wa Roho Mtakatifu. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; utapata wokovu wa Mungu; utapata kupata nuru.

2 Shida zenu za sasa sio saratani ama magonjwa yasiotibika; kama mnaweza kuweka ukweli katika matendo, shida hizi zote zaweza kubadilishwa, ikitegemea kama unaweza kutenda kulingana na ukweli ama hapana. Kama unatembea katika njia sawa, utafanikiwa; kama unatembea katika njia mbaya, utakuwa umemalizika. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; mwangaza na uongozi wa Roho Mtakatifu. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; utapata wokovu wa Mungu; utapata kupata nuru.

3 Watu wengine wanajipata katika shughuli zao wenyewe siku nzima na wanakosa kuchunguza ama kutenda ukweli unaopatikana tayari. watu wa aina hii ni watesekaji kiasili, kuwa na baraka lakini hawaifurahii! Njia ipo, kinachofaa kufanywa tu ni wewe kuiweka katika matendo. Kama umeamua kuuweka ukweli katika matendo, lakini lazima kila wakati uchukue tahadhari na kuwa makini na kupitia ugumu zaidi. Kumwamini Mungu kunahitaji moyo wenye busara—unaweza kumwamini Mungu vizuri ukichukua namna hii ya kawaida? Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; mwangaza na uongozi wa Roho Mtakatifu. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; utapata wokovu wa Mungu; utapata kupata nuru, Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; mwangaza na uongozi wa Roho Mtakatifu. Ukiuweka ukweli unaoelewa katika matendo, utapata ukweli wa ndani zaidi; utapata wokovu wa Mungu; utapata kupata nuru, utapata kupata nuru.

Umetoholewa kutoka katika “Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia: 975 Majaribio ya Mungu kwa Wanadamu ni ili Kuwatakasa

Inayofuata: 977 Kupitia Shida Kuna Umuhimu Mkubwa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

273 Upendo Safi Bila Dosari

1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki