43 Sifunini Kurejea kwa Mungu Sayuni

1

Mwenyezi Mungu ni mtukufu!

Kama mwili Anakuja Mashariki.

Ananena ukweli, Anawahukumu wanadamu,

na kuleta uzima wa milele.

2

Neno la Mungu linatokea kwa kishindo kama umeme.

Linaangaza Magharibi.

Watu wanaona tumaini gizani,

kwa maana Mungu amekuja duniani.

Mwenyezi Mungu amepata ufalme Wake,

Amekuja duniani.

Mwenyezi Mungu amepata ufalme Wake,

Amekamilisha kazi Yake kubwa.

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Katika ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifuni Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Kupitia ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifu Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

3

Mwenyezi Mungu ni mtukufu!

Yeye ni adhimu na mwenye haki.

Maneno ya Mungu yana nguvu kuu,

yanasafisha na kuwaokoa watu Wake.

4

Mungu anampiga Shetani kwa maneno Yake,

hufanya kundi la washindi.

Tunapiga magoti kumwabudu Mungu,

sauti zetu zinamwinua na kumtukuza.

Mwenyezi Mungu amepata ufalme Wake,

Amekuja duniani.

Mwenyezi Mungu amepata ufalme Wake,

Amekamilisha kazi Yake kubwa.

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Kupitia ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifu Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Kupitia ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifu Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

Neno Lake latawala duniani kama mfalme.

Maafa yanawaharibu wanadamu waovu.

Maneno ya Mungu yatimiza kila kitu.

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Kupitia ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifu Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

Ulimwengu unafurahia, watu wote wanamsifu.

Kupitia ulimwengu sauti zao zinalia.

Amepata utukufu wote. Msifu Mungu!

Amerudi Sayuni. Msifu Mungu!

Msifu Mungu! Msifu Mungu! Msifu Mungu!

Iliyotangulia: 42 Sifu Kukamilika kwa Kazi Kuu ya Mungu

Inayofuata: 45 Tunakusanyika Pamoja Kanisani

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp