268 Niko Tayari Kutii Kazi ya Mungu

1

Eh Mungu! Naomba Ufanye kazi Yako ndani yangu,

naomba Unikamilishe na unibadilishe,

ili niweze kutii na kujua matamanio Yako katika vitu vyote.

Kuna upendo na mapenzi Yako makubwa katika wokovu Wako kwangu.

Ingawa mwanadamu hupinga na kuasi,

ingawa asili yake ni usaliti,

leo naelewa mapenzi Yako kumwokoa binadamu.

Nitashirikiana, nitashirikiana na Wewe.

Nakuomba Uniruzuku kulingana na kimo changu,

hivyo nitaelewa mapenzi Yako bila kujali nitakavyoteseka.

Sitaasi wala kulalamika, nitakuridhisha Wewe.

Nitatii kabisa, nitatii kabisa.

2

Eh Mungu! Naomba unipe hata zaidi

mazingira, majaribu na mateso,

Ukiniruhusu niuone mkono Wako ninapokuwa katika uchungu,

Ukiniruhusu niyaone matendo Yako katika shida.

Nakuomba Uniruzuku kulingana na kimo changu,

hivyo nitaelewa mapenzi Yako bila kujali nitakavyoteseka.

Sitaasi wala kulalamika, nitakuridhisha Wewe.

Nitatii kabisa, nitatii kabisa.

3

Ingawa Unanijaribu sana, najua kwamba kimo changu ni kidogo.

Iliyotangulia: 267 Hukumu ya Mungu Iliufanya Moyo Wangu Umpendao Mungu Uwe Safi Zaidi

Inayofuata: 269 Maombi Ya Petro Wakati wa Kusulubiwa Kwake

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp