390 Kanuni za Matendo kwa Waumini

Jichunguzeni ili mwone kama mnatenda haki katika kila jambo mnalotenda, na iwapo matendo yenu yote yanachunguzwa na Mungu: Hii ndiyo kanuni ambayo kwayo wale wanaomwamini Mungu wanafanya shughuli zao. Mtaitwa wenye haki kwa sababu mnaweza kumridhisha Mungu, na kwa sababu mnakubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji wa Mungu, na wale wanaopatwa na Yeye, ni wenye haki, na Yeye huwaona kuwa wenye thamani. Kadri mnavyozidi kuyakubali maneno ya sasa ya Mungu, ndivyo mtakavyozidi kuweza kupokea na kuelewa mapenzi ya Mungu, na ndivyo basi mtakavyoweza kuishi kwa kudhihirisha maneno ya Mungu na kuyakidhi mahitaji Yake zaidi. Hili ndilo agizo la Mungu kwenu na ndilo jambo ambalo nyote mnapaswa kuweza kufikia.

Umetoholewa kutoka katika “Waovu Hakika Wataadhibiwa” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 389 Binadamu Wote Wanapaswa Kumwabudu Mungu

Inayofuata: 391 Kipaumbele cha Juu cha Imani Katika Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp