549 Matatizo Yote Yanaweza Kutatuliwa kwa Kufuatilia Ukweli

Sasa kuufuata ukweli tu ndilo jambo la busara, ni ufahamu tu wa asili yako potovu ndilo jambo la busara, ni uwezo tu wa kumridhisha Mungu ndilo la busara. Kuingia katika uhalisi wa ukweli na kuishi kwa kudhihirisha mfano wa mtu halisi—huu ni uhalisi. Uhalisi ni kumpenda Mungu, kumtii Mungu, na kumshuhudia Mungu. Haya ndiyo matokeo ambayo Mungu anataka. ilhali uchunguzi wa mambo hayo yote ambayo huwezi kugusa wala kuona ni kupoteza muda. Hayana uhusiano wowote na uhalisi, na pia hayana uhusiano wowote na matokeo ya kazi ya Mungu. Mtazamo wa mtu mwerevu kweli unafaa kuwa: Sijali kile ambacho Mungu anafanya, au jinsi Mungu ananitendea mimi; sijali nimepotoka kwa kina kiasi gani, au ubinadamu wangu ni wa jinsi gani; sitayumbayumba katika kufuata kwangu kwa ukweli na kufuata kwangu katika kumjua Mungu. Huu ni mwelekeo wa maisha, hili ndilo ambalo mwanadamu anapaswa kutamani kufikia, hii ndiyo njia pekee ya wokovu.

Umetoholewa kutoka katika “Ikiwa Una Ukweli au La Inaamua Kila kitu” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 548 Mungu Awapenda Wale Walio na Azimio

Inayofuata: 550 Unapaswa Kutafuta Kuwa Nusura

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp