487 Maisha Ya Kiroho Yanayofaa Yanapaswa Kudumishwa Daima

Katika kazi ya Mungu, bila kujali Yeye hufanya nini au nini hubadilika,

angalau sana watu wanapaswa kudumisha maisha ya kawaida ya kiroho.

1

Pengine hujakuwa mlegevu katika maisha yako ya kiroho,

lakini bado hujapata wala kuvuna mengi;

bado unapaswa kufuata kanuni

ili kuepuka hasara katika maisha yako na kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.

Kama maisha yako ya kiroho si ya kawaida,

basi huwezi kuielewa kazi ya Mungu, unahisi kuwa inatofautiana na mawazo yako,

na unakosa motisha ya kumfuata.

Bila kujali Mungu hufanya nini, watu wanapaswa kutii,

au kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

Ndiyo, kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

2

Kama unataka kuwa na kazi ya Roho Mtakatifu ndani yako,

kama unataka kupata idhini ya Mungu,

lazima udumishe ibada yako ya asili.

Ufahamu wa kina na nadharia ya juu havihitajiki,

chote kinachohitajika ni kudumisha neno la Mungu kwa msingi wa asili.

Kama maisha yako ya kiroho si ya kawaida,

basi huwezi kuielewa kazi ya Mungu, unahisi kuwa inatofautiana na mawazo yako,

na unakosa motisha ya kumfuata.

Bila kujali Mungu hufanya nini, watu wanapaswa kutii,

au kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

Ndiyo, kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

Kama watu hawashirikiani, hukataa kuingia zaidi,

Atachukua yote waliyokuwa nayo wakati mmoja.

Mtu hupendelea barabara rahisi kupata ahadi za Mungu kwa urahisi.

Mawazo tele ya mwanadamu.

Ni nani aliyepata maisha bila kulipa thamani?

3

Mtu anapomwamini Mungu, anataka kuingia ndani,

kuingia katika maisha na kubadili tabia yake,

anapaswa kulipa thamani, kumtii Mungu bila kujali Yeye hufanya nini.

Hiki ni kitu lazima wote wafanye.

Hata kama unafuata kama sheria, lazima ukishikilie.

Bila kujali jinsi majaribio yalivyo makubwa, huwezi kuacha uhusiano wako wa kawaida na Mungu.

Unapaswa kuweza kuomba, kudumisha maisha yako ya kanisa, na kukaa na ndugu wa kiume na wa kike.

Mungu anapokujaribu, bado unapaswa kutafuta ukweli.

Hili ndilo sharti la chini kwa maisha ya kiroho.

Kama maisha yako ya kiroho si ya kawaida,

basi huwezi kuielewa kazi ya Mungu, unahisi kuwa inatofautiana na mawazo yako,

na unakosa motisha ya kumfuata.

Bila kujali Mungu hufanya nini, watu wanapaswa kutii,

au kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

Ndiyo, kazi ya Roho Mtakatifu haiwezi kufanikishwa.

Umetoholewa kutoka katika “Unapaswa Kudumisha Ibada Yako kwa Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 486 Ishi Katika Maneno ya Mungu ili Uwe na Kazi ya Roho Mtakatifu

Inayofuata: 489 Yachukulie Maneno ya Mungu kama Msingi wa Matendo Yako

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

83 Upendo wa Kweli

1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha...

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki