Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Upendo Safi Bila Dosari

I

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.

Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,

hutazamii kupata kitu, cha malipo.

Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

II

Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo haujitengi, upendo hauna dosari.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,

hutazamii kupata kitu cha malipo.

Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

III

Utatoa familia, ujana wako na siku za usoni.

Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.

Utatoa familia, ujana na siku za usoni.

Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.

Ama upendo wako si upendo kabisa, bali uongo, usaliti kwa Mungu.

IV

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

kutoka kwa "Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wimbo wa Washindani

Inayofuata:Wamebarikiwa Wale Wanaompenda Mungu

Maudhui Yanayohusiana