985 Mwanadamu Hawezi Kuweka Kando Mwili Wake kwa Muda Huu Mfupi?

Wakati joto la majira ya kuchipua limekuja na maua kuchanua, wakati vyote chini ya mbingu ni kijani kibichi na vitu vyote duniani viko mahali pake, watu na vitu vyote vitaingia hatua kwa hatua katika kuadibu kwa Mungu, na wakati huo kazi yote ya Mungu duniani itaisha. Mungu hatafanya kazi tena au kuishi duniani, kwa maana kazi kubwa ya Mungu itakuwaimetimizwa. Je, watu hawawezi kuweka kando miili yao kwa muda huu mfupi? Mambo gani yanaweza kuunganisha upendo kati ya mwanadamu na Mungu? Ni nani anayeweza kutenganisha upendo kati ya mwanadamu na Mungu? Je, ni wazazi, waume, dada, wake, au usafishaji mchungu? Je, hisia za dhamiri zinaweza kufuta sura ya Mungu ndani ya mwanadamu? Je, kuwa na deni kwa watu na vitendo vyao baina yao kumesababishwa na wao wenyewe? Je, wanaweza kuponywa na mwanadamu? Ni nani anayeweza kujilinda? Watu wanaweza kujikimu? Ni nani wenye nguvu maishani? Ni nani anayeweza kuniacha na kuishi peke yake? Mara kwa mara, kwa nini Mungu anawataka watu wote watekeleze kazi ya kutafakari? Kwa nini Mungu anasema, “Ugumu wa nani umepangwa kwa mikono yao wenyewe?”

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 24 na 25” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 984 Wote Wanaotenda Maovu Ni Walengwa Adhabu

Inayofuata: 986 Mwili Unaweza Kuharibu Majaliwa Yako

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp