615 Jinsi ya Kustahili Kutumiwa na Mungu

1 Ili kuwa wa kufaa kwa matumizi ya Mungu, hamhitaji tu kuwa na matarajio, lakini mnahitaji pia nuru nyingi kutoka kwa Mungu, mwongozo kutoka kwa maneno ya Mungu, kushughulikiwa na Mungu, na usafishaji wa maneno Yake. Hili likiwa msingi, katika nyakati za kawaida, mnapaswa kutilia maanani uchunguzi, mawazo, kutafakari na hitimisho, na mjishughulishe na uingiaji au uondolewaji inavyopasa. Hizi zote ni njia za kuingia kwenu katika uhalisi na zote ni za msingi—hii ndiyo njia ambayo Mungu hufanya kazi.

2 Ikiwa unapaswa kuingia katika njia hii ambayo Mungu hufanya kazi, basi utakuwa na fursa ya kukamilishwa na Mungu kila siku. Na wakati wowote, bila kujali kama ni mazingira magumu au mazingira mazuri, kama unajaribiwa au unashawishiwa, kama unafanya kazi au la, kama unaishi maisha kama mtu binafsi au kwa pamoja, utapata fursa za kukamilishwa na Mungu kila wakati, bila kukosa hata moja yao. Utakuwa na uwezo wa kugundua zote, na kwa njia hii utakuwa umepata siri ya kupitia maneno ya Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Kile Ambacho Mchungaji wa Kutosha Anapaswa Kujiandaa Nacho” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 614 Kuingia Kwako Ni Kazi Yako

Inayofuata: 616 Kanuni Mbili Ambazo Viongozi na Wafanyakazi Lazima Waelewe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp