Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Toba

Nia nzuri, ushauri wa siku za mwisho unamwamsha mwanadamu kutoka usingizi mzito.

Fikira za uchungu, upako uliobaki unatesa dhamiri yangu.

Kwa kuchanganyikiwa, naomba kwa hofu. Mkono moyoni, nikitubu.

Wewe ni mkarimu sana, lakini nilikuhadaa na upendo wa uongo.

Roho yangu ovu haikujua majuto.

Kuishi katika dhambi, bila hofu. Bila kujali ulivyohisi Wewe.

Kutaka tu neema Yako. Katika wasiwasi na kujihurumia,

Samahani lakini siwezi kukoma. Kujidanganya ni kugumu kuficha.

Bila kujua kuwa Wewe ni mwaminifu, kwa kunuia nikatafuta njia yangu ya kutoka.

Kazi Yako itakapokamilika, nani anayeweza kukuzuia?

Yote yanayobaki ni majonzi na majuto.

Kuishi katika dhambi, upotovu. Majuto yanajaa moyoni mwangu.

Maneno ya bidii yanasalia ndani yangu. Nachukia jinsi nimekuwa wa chini.

Mkono mtupu, nakumbana na maneno Yako. Nina aibu sana kukuona Wewe. Ee ...

Iliyotangulia:Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

Inayofuata:Ee Mungu, Siwezi kuwa bila Wewe

Maudhui Yanayohusiana