53 Kumrudia Mungu ni Furaha ya Kweli

1

Katika kumwamini kwetu Bwana awali,

tulitafuta tu neema Yake kwa tamaa.

Katika dini, tukifungwa na fikira,

tulikuwa gizani na katika uchungu.

2

Mwenyezi Mungu alituongoza kwenye njia ya nuru,

kila siku tunafurahia maneno Yake.

Kwaujua ukweli, roho zetu zinaachiliwa.

Kuokolewa na Mungu ni heshima.

Kuonja upendo wa Mungu,

kuinuliwa mbele ya kiti Chake cha enzi ni furaha ya kweli.

3

Tunahukumiwa mbele ya kiti cha Kristo,

na upotovu wetu unatakaswa.

Tunahisi upendo wa kweli wa Mungu tunapopogolewa.

Uchungu kupitia shida: karamu ya Mungu kwetu.

Kuonja upendo wa Mungu,

kuinuliwa mbele ya kiti Chake cha enzi ni furaha ya kweli.

Tunamsifu Mungu kwa ajili ya haki Yake.

Ukweli umetukomboa kutoka kwa upotovu.

Tunatamani kutimiza wajibu wetu,

ili tuweze kulipiza upendo mkubwa wa Mungu.

Hukumu na majaribu ya Mungu,

vimetutakasa na kutuokoa.

Kuonja upendo wa Mungu,

kuinuliwa mbele ya kiti Chake cha enzi ni furaha ya kweli.

Iliyotangulia: 52 Mungu Yuko Kati Yetu

Inayofuata: 54 Matamanio ya Moyo Wangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp