45 Tunakusanyika Pamoja Kanisani

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

1

Ni mkusanyiko wa watu wanaompenda Mungu.

Tunakula na kunywa neno la Mungu, tunashiriki kuhusu ukweli,

furaha na utamu ukijaza mioyo yetu.

Jana tuliacha majuto na hatia;

leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.

Bila chuki, vizuizi, na umbali,

tunapendana, familia moja,

mioyo yetu imeshikamana, karibu sana, hakuna nafasi kati yetu.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Lugha zetu zinatofautiana lakini mioyo yetu imeunganika.

Tunatafuta pamoja katika maneno ya Mungu.

Tunaushuhudia upendo wa Mungu, tunashiriki uzoefu.

Sasa tunafuatilia ukweli, tunaishi katika maneno Yake.

Matarajio yetu hayana mipaka, yamejaa uzima na mwanga.

Tunafanya kazi pamoja kwa bidii, tunapambana kusonga mbele.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

2

Lakini sote tutaenda njia tofauti hivi karibuni.

Kwani tunabeba agizo la Mungu, na tunatekeleza misheni yetu.

Tutaenda njia zetu wenyewe ili tumshuhudie Mungu.

Upendo Wake unahitaji tujitolee kwa kina kabisa.

Tukikusanyika, tunacheka na kuongea kwa uchangamfu;

tunapoondoka, tunatiana moyo.

Tunatumia nguvu zetu kwa kesho bora.

Tunamfuata Kristo kwa karibu, tukijitolea kwa Mungu.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Tunakusanyika pamoja kanisani.

Iliyotangulia: 43 Sifunini Kurejea kwa Mungu Sayuni

Inayofuata: 46 Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp