Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

658 Mungu Ataka Kumwokoa Mwanadamu Kutoka katika Maisha Kuzimuni

1. Kwa maelfu ya miaka, Wachina wameishi maisha ya utumwa na hii imebana sana fikira, mawazo, maisha, lugha, tabia, na matendo yao kiasi kwamba wamebaki bila uhuru wowote. Maelfu kadhaa ya miaka ya historia imewachukua watu muhimu waliomilikiwa na roho na kuwadhoofisha hadi kuwa kitu kinachofanana na maiti iliyoondokewa na roho. Wengi ni wale wanaoishi chini ya kisu cha kuchinja cha Shetani, wengi wanaishi katika makazi yanayofanana na pango la mnyama, wengi wanakula chakula kama wanachokula ng’ombe au farasi, wengi wapo katika mchafuko huko “ahera” na hawana maana kabisa. Katika umbo la nje, watu hawana tofauti na watu wa zamani, sehemu yao ya kupumzika ni kama kuzimu, na wote wanaowazunguka ni mashetani na pepo wachafu.

2. Kwa umbo la nje, wanadamu wanaonekana kuwa ni “wanyama” wa tabaka ya juu; kwa kweli wanaishi na kukaa na mashetani wachafu. Bila mtu yeyote kuwashughulikia, watu wanaishi katika mtego uliojificha wa Shetani, na wamenaswa kabisa katika kazi zake za taabu kiasi kwamba hawawezi kutoroka. Hawakusanyiki na wapendwa wao katika makazi yao ya furaha, kuishi kwa furaha na kuyaishi maisha ya kuridhisha, bali wanaishi Kuzimu, wakishughulika na pepo na kushirikiana na mashetani. Kwa kweli, watu bado wamefungwa na Shetani, wanaishi mahali ambapo pepo wachafu wanakusanyika, na wanatawaliwa na hawa pepo wachafu, na ni kana kwamba vitanda vyao ni mahali ambapo maiti zao zimelala, kana kwamba ni sehemu zao za kustarehe. Uingiapo nyumbani kwao, uwanja ni baridi na pweke. Mwanadamu amekuwa akiishi katika ahera hii kwa miongo kadhaa, au karne kadhaa, au hata milenia kadhaa. Mungu anataka kuwabadilisha watu, kuwanusuru, kuwaokoa kutoka kwa kaburi la kifo, ili waweze kuepukana na maisha wanayoishi Kuzimu na jahanamu.

Umetoholewa kutoka katika “Kazi na Kuingia (5)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wale Wanaotii Kazi ya Mungu kwa Kweli Wanaweza Kupatwa na Yeye

Inayofuata:Tabia Yako Inaweza Kubadilika Tu kwa Kutii Kazi ya Mungu

Maudhui Yanayohusiana