550 Unapaswa Kutafuta Kuwa Nusura

1 Nitakuelekeza kwenye njia, ambayo inahakikisha kuwa nyote mtakuwa na njia ya kufuata. Ambayo ni kutafuta kuwa msaliaji. Bila kujali madaraka au hadhi ya baadaye, jishughulishe tu na kile unachopaswa kukifanya, unapotafuta kusalia. Hiki ni kitu ambacho watu wanapaswa kutafuta; ni sawa. Si tamaa inayopita kiasi, kwa kuwa wanadamu ambao huokoka hakika watakuwa watu wazuri. Hakika watakuwa na ushuhuda mzuri wa Mungu, na hakika wataridhisha mapenzi Yake. Kutafuta kuokoka kwa hivyo si matakwa yaliyopita kiasi, badala yake ni kitu ambacho watu wanapaswa kutafuta. Hili linakubaliana na kazi ya Mungu ya kuwaokoa watu.

2 Kwa hivyo nyote mnapaswa kufanya mpango wa msingi unaowezekana, kuishi baadaye, ikiwa ni kama mtendaji-huduma, kama mmoja wa watu wa Mungu, kama mmoja wa wana wa Mungu, ama kama mtu wa hadhi ya juu. Yote unayopasa kufikiria ni kuhusu kila ambacho unahitaji kufanya, ili kwamba kwa kibali cha Mungu uokoke, kwa sababu Mungu anatumai kuwa na watu na wasaliaji wengi. Je, hili halifanyi utafutaji wenu kuwa rahisi zaidi? Unatakiwa kuelewa: Ufuatiliaji wa kawaida sio matakwa ya kupita kiasi. Katika imani yao katika Mungu, watu hawapaswi kuwa na matakwa ya kupita kiasi. Wanayopaswa kuwa nayo ni ufuatiliaji wa kawaida.

Umetoholewa kutoka katika “Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 549 Matatizo Yote Yanaweza Kutatuliwa kwa Kufuatilia Ukweli

Inayofuata: 551 Azimio Linalohitajika ili Kufuatilia Ukweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp