422 Maombi ya Unyenyekevu na Busara Ni ya Umuhimu Mkubwa

1 Lazima uelewe dhahiri kwamba sala zao pia ni mfano wa mkondo ambao kwao Roho Mtakatifu hufanya kazi. Watu wanapoomba na kutafuta wakati wako katika hali sahihi, Roho Mtakatifu pia Atakuwa anafanya kazi wakati huo huo. Huu ni mfano wa ushirikiano wenye muamana kati ya Mungu na mwanadamu kutoka mitazamo miwili tofauti; kwa maneno mengine, ni Mungu akiwasaidia watu kushughulikia masuala fulani. Hii ni aina ya ushirikiano kutoka kwa wanadamu wanapokuja mbele ya Mungu; pia ni aina ya mbinu ambayo Mungu Hutumia kuwaokoa na kuwasafisha watu. Zaidi, ni njia ya kuingia kunakofaa kwa watu katika maisha, na si aina ya utaratibu. Umuhimu wa sala ni wa kina sana! Ukiomba mara kwa mara, na kama unajua jinsi ya kuomba—ukiomba mara kwa mara kwa unyenyekevu na kwa busara—basi hali yako ya ndani itakuwa inayofaa hasa.

2 Ukiomba mara kwa mara, na kama unajua jinsi ya kuomba—ukiomba mara kwa mara kwa unyenyekevu na kwa busara—basi hali yako ya ndani itakuwa inayofaa hasa. Lazima uwe makini na mwenye ari na maneno unayoomba wakati hauko mbele ya Kristo. Ni kwa njia hii tu ndiyo unaweza kuwa wa kawaida mbele ya Kristo. Je, watu wanaomwamini Mungu huja vipi katika uwepo wa Mungu? Kupitia maombi. Unaposali, chunguza jinsi ya kuzungumza kwa busara, namna ya kuzungumza katika mahali sahihi kwa ajili ya watu, jinsi ya kuzungumza katika hali ya unyenyekevu, na namna gani ya jinsi ya kuzungumza inaufanya moyo wako uwe na wasiwasi. Ingekuwa bora zaidi kama ungefanya mazoezi kwa kipindi cha muda na kisha uje mbele za Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Umuhimu na Mazoezi ya Sala” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 421 Zungumza kwa Dhati Katika Maombi ili Uwe na Kazi ya Roho Mtakatifu

Inayofuata: 423 Hakuna Huduma ya Kweli Bila Ombi la Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp