Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Wimbo wa Washindani

Ufalme wa Mungu unaongezeka katikati ya binadamu.

Unaundika katikati ya binadamu.

Unasimama katikati ya binadamu.

Hakuna nguvu yoyote inayoweza kuharibu ufalme wa Mungu.

Watu katika ufalme wa leo,

nani kati yenu asiye mmoja wa jamii ya binadamu,

ama yuko nje ya hali ya binadamu?

Hatua ya kwanza ya Mungu itakapotangazwa kwa umati,

binadamu atajibu kwa njia gani?

Mmeona na macho yenu wenyewe hali ya wanadamu.

Je, bado mna matumaini ya kuvumilia milele katika dunia hii?

Mungu sasa anatembea katikati ya watu Wake.

Anaishi katikati ya watu Wake.

Wamebarikiwa wale walio na upendo wa kweli kwa Mungu leo.

Wamebarikiwa wale wanaomtii Mungu.

Kwa kweli wataishi katika ufalme Wake.

Wamebarikiwa wale ambao wana maarifa ya Mungu.

Kwa kweli watakuwa na mamlaka katika ufalme Wake.

Wamebarikiwa wale ambao humtafuta Mungu.

Kwa kweli wataepuka kutoka kwa ufungo wa Shetani na kufurahia baraka katika Mungu.

Wamebarikiwa wale ambao wanaweza kujitelekeza.

Kwa kweli wataingia katika miliki ya Mungu.

Wataridhi utajiri katika ufalme wa Mungu.

Mungu atawakumbuka wale wanaoshugulika kwa ajili Yake.

Mungu atawakumbatia kwa furaha wale wanaogharimika kwa ajili Yake.

Mungu atawapa raha wale wanaotoa sadaka Kwake.

Mungu atawabariki wale wanaopata raha katika maneno ya Mungu.

Kwa kweli watakuwa nguzo ambayo inashikilia mtambaapanya katika ufalme Wake.

Kwa kweli watakuwa na utajiri usiolinganishika katika nyumba Yake,

na hakuna anayeweza kulinganishwa nao.

Je, umewahi kukubali baraka ambazo ulipewa?

Je, umewahi kutafuta ahadi za Mungu ambazo ulipewa?

Kwa kweli, kwa sababu ya uongozi wa mwanga Wake,

utaweza kuvunja mshiko wa nguvu za giza.

Kwa kweli, katikati ya giza, hutapoteza mwangaza unaokuongoza.

Kwa kweli utakuwa bwana wa uumbaji wote.

Kwa kweli utakuwa mshindi mbele ya Shetani.

Kwa kweli utasimama katikati wa umati mkubwa sana

ili kutoa ushuhuda kwa ushindi Wake katika kuanguka kwa joka kuu jekundu.

Kwa kweli utakuwa na nguvu na imara katika nchi ya dhambi.

Utaridhi baraka itokayo kwa Mungu kwa mateso unayovumilia,

na kwa kweli utawaangazia wote ulimwenguni mzima kwa utukufu Wake.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Inayofuata:Upendo Safi Bila Dosari

Maudhui Yanayohusiana