Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

200. Wanaosimama Imara Katika Taabu Ni Washindi

I

Katika Enzi ya Ufalme,

binadamu watafanywa kamili,

kamili kabisa katika Enzi ya Ufalme.

Wakati kazi ya ushindi imekamilika,

watapitishiwa katika usafishaji na dhiki,

wakati ushindi huo unakamilika.

Wale wanaoshinda

na kushuhudia kupitia katika taabu hii,

eh, hao ndio ambao hatimaye

watakamilishwa, na watakuwa washindi.

II

Wakati wa dhiki hii yote,

mwanadamu anatarajiwa kusafishwa.

Ni hatua ya mwisho ya kazi ya Mungu,

mara ya mwisho ambayo mwanadamu anasafishwa

kabla ya kazi ya usimamizi ya Mungu kufungwa.

Wote wanaofuata lazima wakubali mtihani huu.

Wale wanaoshinda

na kushuhudia kupitia katika taabu hii,

eh, hao ndio ambao hatimaye

watakamilishwa, na watakuwa washindi.

III

Wale wanaokabiliwa na dhiki

hawatakuwa na mwongozo wa Mungu au kazi ya Roho.

Lakini wale walioshindwa, wakimtafuta Mungu, watasimama.

Haijalishi kile anachofanya Mungu,

hawatapoteza maono yao,

lakini watatenda ukweli, wakiendelea kushuhudia.

Hawa watapata kupita.

Wale wanaoshinda

na kushuhudia kupitia katika taabu hii,

eh, hao ndio ambao hatimaye

watakamilishwa, na watakuwa washindi.

IV

Eh, hawa ndio wale,

wale walio na ubinadamu,

wakimpenda Mungu kwa kweli.

Wale wanaoshinda

na kushuhudia kupitia katika taabu hii,

eh, hao ndio ambao hatimaye

watakamilishwa, na watakuwa washindi.

kutoka katika "Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Acha Mungu Atawale Juu ya Nafsi Yetu Yote

Inayofuata:Hakuna Anayeielewa Kazi ya Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

  Tabia ya Haki ya Mungu Kwa vile sasa mmesikiliza ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mmejihami vilivyo na mseto wa maneno …

 • Utendaji (2)

  Katika nyakati zilizopita, watu walijifundisha wenyewe kuwa na Mungu na kuishi katikati ya roho kila wakati, ambao, ukilinganishwa na utendaji wa leo…