Kitabu cha Mwongozo wa Imani

Makala 24

Kurejea Kutoka Ukingoni

Na Zhao Guangming, China Mwanzoni mwa miaka ya 1980, nilikuwa katika miaka yangu 30 nami nilikuwa nikifanyia kazi kampuni ya ujenzi. Nilijifikira kuw…

Mungu Yuko Kando Yangu

Na Guozi, Marekani Nilizaliwa katika familia ya Kikristo, na nilipokuwa na umri wa mwaka mmoja, mama yangu alikubali kazi mpya ya Bwana Yesu aliyerud…

Bahati na Bahati Mbaya

Na Dujuan, Japani Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na weng…

Toba ya Afisa

Nilianza kuishi maisha ya kanisa, na nikagundua kuwa Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuwa tofauti kabisa na ulimwengu. Ndugu husoma maneno ya Mungu na hufanya ushirika juu ya ukweli. Wao hutafuta kutenda kulingana na maneno ya Mungu na ukweli, kuwa waaminifu na wanyofu, na kuwa wenye mioyo safi. Nilihisi kana kwamba nilikuwa nimekuja mahali pa utakatifu, na nilihisi uhuru na uachiliwaji ambao sikuwahi kuhisi hapo awali.

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp