769 Wale Wanaompenda Mungu Wana Nafasi ya Kukamilishwa

1 Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anatazamia kwa hamu kumtii Mungu na kumheshimu Yeye, wataweza kukamilishwa na Yeye. Mungu huwakamilisha watu kulingana na kazi zao tofauti. Mradi tu umefanya yote kwa nguvu yako na kuitii kazi ya Mungu utakuwa na uwezo wa kukamilishwa na Yeye. Kwa sasa hakuna hata mmoja wenu aliye mkamilifu. Wakati mwingine mnaweza kutekeleza aina moja ya kazi na wakati mwingine mnaweza kutekeleza mbili; mradi tu mnatoa nguvu zenu zote kujitumia kwa ajili ya Mungu, hatimaye mtafanywa wakamilifu na Mungu.

2 Bila kujali kama ninyi ni ndugu au dada wadogo au wakubwa, mnajua kazi mnayopaswa kutekeleza. Wale walio katika ujana wao sio wenye kiburi; wale walio wakubwa zaidi sio wasioonyesha hisia na hawarudi nyuma. Nao wanaweza kutumia nguvu za kila mmoja kufidia upungufu wao, na wanaweza kuhudumiana bila ubaguzi wowote. Daraja la urafiki linajengwa kati ya ndugu na dada wadogo na wakubwa. Kwa sababu ya upendo wa Mungu mnaweza kuelewana vizuri zaidi. Ndugu wadogo hawawadharau ndugu wakubwa, na ndugu wakubwa sio wa kujidai. Je! Huu si ushirikiano patanifu? Ikiwa ninyi nyote mna uamuzi huu, basi mapenzi ya Mungu hakika yatatimizwa katika kizazi chenu.

Umetoholewa kutoka katika “Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 768 Kuishi Kutekeleza Mapenzi ya Mungu ni Jambo la Maana Zaidi

Inayofuata: 770 Mungu Atumai Kwamba Mwanadamu Ampende Mungu kwa Moyo, Akili na Nguvu Zake Zote

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp