Filamu za Kikristo | Hukumu ya Mungu ya Siku za Mwisho Ni Wokovu kwa Mwanadamu (Dondoo Teule)

22/09/2018

Baadhi ya watu husoma maneno ya Mwenyezi Mungu na kuona kwamba kunayo mambo makali ambayo ni hukumu ya wanadamu, na shutuma na laana. Wanafikiria kwamba kama Mungu huhukumu na kulaani watu, nao pia hawatashutumiwa na kuadhibiwa? Inawezaje kusemekana kwamba aina hii ya hukumu ni ya kutakasa na kuokoa wanadamu? Ni njia gani nzuri ya kufahamu kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho? Pata majibu kutoka katika video hii.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp