Filamu za Kikristo | Kurudi kwa Bwana Katika Siku za Mwisho Kunaleta Njia ya Uzima wa Milele (Dondoo Teule)

07/08/2018

Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele." (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji hai ya uzima, Yeye ndiye njia ya uzima wa milele, lakini, kama ilivyoshudiwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu, ni Kristo wa siku za mwisho pekee — Mwenyezi Mungu anaweza kuwapa watu njia ya uzima wa milele. Hivyo, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu wanatoka kwa chanzo kimoja? Je, kazi zao zinatekelezwa na Mungu mmoja? Kwa nini ni Kristo wa siku za mwisho pekee anayeweza kutupa njia ya uzima wa milele?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp