Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

"Ivunje Laana" (1) - Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana?

Dondoo za Filamu   516  

Utambulisho

Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wanaume kwa wanawake katika siku zile, nitamimina roho yangu. Na nitaonyesha maajabu mbinguni na duniani, damu, na moto, na miimo ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa siku kuu na ya kutisha ya BWANA” (Yoeli 2:29-31). Kabla ya maafa makubwa kutufika, roho wa Mungu atawastawisha watumishi na wajakazi Wake, na Yeye atafanya kamili kundi la washindi. Ikiwa hatuwezi kuchukuliwa kwenda mbinguni kabla ya majanga makubwa, labda tutaangamia kati ya majanga haya. Sasa, Umeme wa Mashariki linashuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi, ameonyesha ukweli, na akafanya kamili kundi la washindi. Je, si hili linatimiza unabii wa Kibiblia? Je, Umeme wa Mashariki ni onyesho la kazi ya Bwana?