Filamu za Kikristo | Tunaweza Kupata Uzima kwa Kuamini Katika Biblia? (Dondoo Teule)

19/07/2018

Mara kwa mara wachungaji na wazee huwafundisha watu kuwa hawawezi kuitwa waumini wakiondoka kwenye Biblia, na kwamba kwa kushikilia Biblia pekee ndiyo wanaweza kupata uzima na kuingia katika ufalme wa mbinguni. Lakini, je, maoni haya yanalingana na mapenzi ya Mungu? Je, ni Biblia ambayo inaweza kutupa uzima, au ni Mungu ambaye anaweza kutupa uzima? Bwana Yesu alisema, "Tafuteni katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnafikiri kuwa mnao uhai wa milele: na nashuhudiwa na hayo. Nanyi hamkuji kwangu, ili mpate uhai" (Yohana 5:39-40). Mwenyezi Mungu asema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo kwayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili). Uzima una chanzo chake katika Kristo wala sio katika Biblia. Kristo pekee ndiye chanzo cha uzima na Yeye ndiye Bwana wa Biblia. Video hii itakusaidia kupata ufahamu mpya wa Biblia!

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp