Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

26/04/2018

Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje kuhubiri na akasikia habari fulani za kushtua: Bwana Yesu amerudi katika mwili, na Yeye ni Kristo wa siku za mwishoMwenyezi Mungu! Lin Bo'en alikanganyikiwa. Wakati Bwana atarudi, Anatakiwa kushuka na mawingu, kwa hiyo angejipatiaje mwili na kufanya kazi Yake kwa siri? Ni siri gani zilifichwa katika kupata mwili kwa Mungu? Ikiwa Bwana amerudi kweli, kwa nini hatujanyakuliwa? … Mjadala mkali sana unajitokeza kati ya Lin Bo'en na wafanyakazi wenzake na wahubiri kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu … Je, hatimaye wataweza kuelewa kwamba Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu, kuonekana kwa Mungu katika mwili?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp