Filamu za Kikristo | Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana? (Dondoo Teule)
27/04/2018
Bwana atakapokuja tena, Atashuka na mawingu, au Atakuja kwa siri kama mwizi? Je, Utakukabili vipi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Je, utakuwa na hofu kubwa ya kupotoshwa na Kristo wa uongo hivi kwamba utakataa kumtafuta, au utaiga sehemu ya bikira mwenye busara na kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu? Tunapaswaje "kukesha na kungoja" ili tuweze kumkaribisha Bwana atakapokuja? Tazama video hii fupi!
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Maneno ya Mungu ya Kila Siku
Filamu za Injili
Ushuhuda wa Maisha ya Kanisa
Filamu za Ushuhuda wa Matukio ya Maisha
Filamu za Mateso ya Kidini
Kuimba na Kudansi
Mfululizo wa Video za Kwaya
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Muziki
Video za Nyimbo za Dini
Kufichua Ukweli
Dondoo Maalum za Filamu