Filamu za Kikristo | Mafumbo ya Kupata Mwili kwa Mungu Yamefichuliwa (Dondoo Teule)

13/06/2018

Ingawa watu wanaomwamini Bwana wote wanajua kwamba Bwana Yesu ni Mungu aliyepata mwili, hata hivyo hakuna kweli anayeweza kuelewa ukweli wa kupata mwili. Imetabiriwa katika Biblia kwamba Bwana atakuja tena katika mwili kuzungumza na kufanya kazi katika siku za mwisho. Kama hatumjui Mungu mwenye mwili, basi hatuna namna ya kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana. Hivyo, kumjua Mungu mwenye mwili ni muhimu katika kukaribisha kurudi kwa Bwana. Tunapaswaje basi kumjua Mungu mwenye mwili?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp