Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Full 2020 Swahili Christian Movie Based on a True Story | Kwenye MisheniFull 2020 Swahili Christian Movie Based on a True Story | Kwenye Misheni 2020 Full Swahili Christian Movie | "Imani Katika Mungu 3 – Inukeni, Wale Msiokubali Kuwa Watumwa"2020 Full Swahili Christian Movie | "Imani Katika Mungu 3 – Inukeni, Wale Msiokubali Kuwa Watumwa" Kuonekana Kwa Mwenyezi Mungu na Kazi Yake: Historia ya Kuzaliwa na Kukua kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu (Sehemu 1)Kuonekana Kwa Mwenyezi Mungu na Kazi Yake: Historia ya Kuzaliwa na Kukua kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu (Sehemu 1) Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last DaysFilamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last DaysSwahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My GodVideo za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God? Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the LordFilamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in JudgementFilamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian MovieHave You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za InjiliThe Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven? Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa MbinguniVideo za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena" Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja! Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya BibliaSwahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu? Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la MunguSwahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa BwanaSwahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana Christian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord JesusChristian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord Jesus Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi YakeSwahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi? Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika MunguLatest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu Swahili Christian Movie "Mji Utaangushwa" | God's Warning of the Last DaysSwahili Christian Movie "Mji Utaangushwa" | God's Warning of the Last Days Swahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji WanguSwahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu WanguSwahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko" | Isikilize Sauti ya Mungu na Uinuliwe Kwenda Katika Ufalme wa MbinguniSwahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko" | Isikilize Sauti ya Mungu na Uinuliwe Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" “Maskani Yangu Yako Wapi” | God gave me a happy family | Swahili Christian Family Movie“Maskani Yangu Yako Wapi” | God gave me a happy family | Swahili Christian Family Movie Video za Kikristo | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" (Swahili Subtitles)Video za Kikristo | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" (Swahili Subtitles) Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

2020 Full Swahili Christian Movie | "Imani Katika Mungu 3 – Inukeni, Wale Msiokubali Kuwa Watumwa"

Mfululizo wa Filamu za Injili   2524  

Utambulisho

2020 Full Swahili Christian Movie | "Imani Katika Mungu 3 – Inukeni, Wale Msiokubali Kuwa Watumwa"


Meng Changlin, mfanyakazi mwenza wa Kanisa la Kanuni Tatu za Binafsi, hapo awali alidhani kwamba kumwamini Bwana katika Kanisa la Kanuni Tatu za Binafsi kungemuepusha na mateso ya CCP. Hata hivyo, baada ya Xi Jinping kuingia madarakani, CCP kinazidisha mateso yake kwa imani ya kidini, na hata Kanisa linaloendeshwa na serikali la Kanuni Tatu za Binafsi linaanza kuathiriwa na ukandamizaji na mateso; misalaba yao mingi inabomolewa na makanisa kubomolewa, na CCP hata kinaanza kuyalazimisha makanisa yapeperushe bendera ya taifa, yaimbe wimbo wa taifa, na kutundika picha ya Mwenyekiti Xi…. Katika makabiliano na mateso haya ya CCP, mchungaji wake hawaongozi waumini katika kuomba ili kutafuta mapenzi ya Mungu, lakini badala yake anakitii CCP katika mambo yote. Meng Changlin anaamini kuwa hayo yanakiuka kabisa njia ya Bwana, na kwamba wamezama na kuwa watumwa wa Shetani, mfalme wa ibilisi. Anamsihi mchungaji wake aondoke katika Kanisa la Kanuni Tatu za Binafsi na achukue njia ya kanisa la nyumbani, lakini mchungaji wake anamkemea na kumzuia. Ni katika wakati huu ndipo anakutana na Xiang Zhiheng, Mkristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kupitia kutafuta na ushirika, Meng Changlin anaweza kuona kwa dhahiri zaidi kuliko hapo awali kuwa sera ya Kanisa la Kanuni Tatu za Binafsi bila shaka ni hila ya CCP ya kutafuta muda zaidi wa kupanga mpango wake wa kuondoa kabisa imani ya kidini; anaona kwamba wachungaji na wazee wanapowaongoza waumini kukitii CCP, wanampinga na kumsaliti Mungu, na kwamba wote ni wachungaji wa uwongo wanaomhudumia Shetani. Wakati huo huo, Meng Changlin anakuja kuelewa umuhimu wa kupitia mateso na shida kama sehemu ya imani katika Bwana, na anaona waziwazi kuwa imani katika Mungu chini ya mfumo wa utawala wa kishetani wa CCP inahitaji mtu kuhatarisha maisha yake ili kumfuata Mungu. Anakuja kuelewa kwamba kumwamini Mungu kunahitaji kusikiliza maneno ya Mungu na kumtii Mungu, na kwamba mtu hawezi kuwasikiliza au kuwatii watu badala ya Mungu. Meng Changlin na wale wengine, kupitia kutafuta na kuchunguza, wanaona kwamba maneno yote ya Mwenyezi Mungu ni ukweli na ni sauti ya Mungu, na kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Bwana Yesu aliyerudi! Wanabubujikwa na furaha tele, na mwishowe wanaondokana na utumwa na vikwazo vya mfumo wa utawala wa kishetani wa CCP na vya wachungaji wa uwongo na wapinga Kristo katika ulimwengu wa dini. Wanarudi mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu