Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

16/09/2018

Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi. Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi. Umeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini. Kondoo wazuri zaidi na zaidi na kondoo viongozi wa madhehebu na vikundi mbalimbali wamekubali Umeme wa Mashariki. Hii inamsababisha Li Qingxin kujichunguza kiasi fulani. Hasa, ameona kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini hawasiti kuzua uvumi na upuzi mbalimbali wa kushutumu na kulichafua jina la Kanisa la Mwenyezi Mungu. Hata wanaratibu pamoja na serikali ya Kikomunisti ya Uchina kuwakamata wahubiri wa Umeme wa Mashariki. Anahisi kwamba matendo na hatua ya mchungaji na mzee wa kanisa yanapotoka kwa njia ya Bwana, na anatambua kwamba kile Chama cha Kikomunisti cha Uchina na jamii ya dini wanapinga na kushutumu vikali huenda kikawa ndicho njia ya kweli, na kinaweza kuwa ndicho maonyesho na kazi ya Bwana. Kuanzia hapo yeye na baadhi ya wafanyakazi wenza wanaamua kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki, lakini wanakumbana na mbinu zote za uzuiliwaji na matatizo kutoka kwa mchungaji na mzee wa kanisa. Kupitia kwa kuyasoma maneno ya Mwenyezi Mungu na kuusikiliza ushuhuda wa wachungaji wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Li Qingxin na wengine wanaupata uwezo wa kutambua uvumi na dhana zenye kosa za mchungaji na mzee wa kanisa. Hii inawaruhusu kufahamu nia ya kudharauliwa na ujanja potofu katika wao kuwazuilia wafuasi kuichunguza njia ya kweli, na kuona waziwazi hali halisi ya mchungaji na mzee wa kanisa ambayo ni ya kinafiki. Li Qingxin na wengine wanasema kwa sauti kuu kwa mchungaji wao wa kidini na mzee wa kanisa, "Kaa mbali na shughuli zetu!" Wanaweza hatimaye kutupilia mbali kabisa mtego na utumwa wa mchungaji na mzee wa kanisa, na kurudi mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp